Swahili Library
Maktaba ya Kiswahili
Karibu kwenye maktaba ya Kiswahili. Hapa utapata mkusanyiko wa vitabu ambavyo vimetafsiriwa kwa Kiswahili. Vitabu hivi ni bure kwako kusoma mtandaoni. Natumahi watakuwa baraka kwako. Matoleo ya kuchapisha ya vitabu hivi yanapatikana kupitia Amazon. Viungo vinatolewa hapa chini.
Mashariki Mwa Edeni (East of Eden)
(Kuishi Ndani Ya Juvyru Cha Bystabu: Somo La Nwabnzi 4:16
Iwika Waku Wangu... (If My People...)
Mpango Mpya Wa Mungu na Uponyaji wa Nchi Yetu
Nabii Wa Moto Na Watu Waliogeuka Kuni (A Fiery Prophet and a People of Wood)
Mtazamo Wa Ibada Katika Maisha Na Ujumbe Wa Nabii Yeremia
Babeli Kuu (Babylon the Great)
Mtazamo Wa Ibada Katika Ushawishi Wa Babeli Katika Kufunuliwa Kwa Kusudi La Mungu Duniani
Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi (If Your Brother Sins)
(Uchunguzi wa Kitabu cha Mathayo 18:15-17
Sio Kile Nilichotarajia (Not What I Expected)
Wakati Maisha Yasipobadlika Kama Ulivyotarajia Mafunzo Kutoka Kitabu Cha Kutoka 16:3
Imani Ya Mtu Wingine (Someone Else's Faith)
Imani Uli Yonayo ni ya Kwako Kabwa?
Kondoo Aliye Potea (The Lost Sheep)
Fundisho la Fumbo la Yesu Katika Luka 15:3-7
Wanandoa Kama Wewe na Mimi (Couples Like You and Me)
Masomo Kutoka Kwa Maisha Ya Wanandoa Kumi Na Wawili Katika Biblia
Mioyo Iliyojeruhina na Mabenchbi Tapu Kamsani (Wounded Hearts and Empty Pews)
Mwongozo wa Kibiblia kushugulikia mpasuko kanisani