Swahili Library

Karibu kwenye maktaba ya Kiswahili. Hapa utapata mkusanyiko wa vitabu ambavyo vimetafsiriwa kwa Kiswahili. Vitabu hivi ni bure kwako kusoma mtandaoni. Natumahi watakuwa baraka kwako.


Ikiwa Watu Wangu…
Mpango Mpya Wa Mungu na Uponyaji Wa Nchi Yetu

Imani Ya Mtu Wingine
Imani Yliyonayo Ni Ya Kwako Kabisa?

Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi
Uchunguzi wa Kitabu cha Mathayo 18:15-17

Kondoo Aliye Potea
Fundisho la Fumbo la Yesu Katika Luka 15:3-7

Mashariki Mwa Edeni
Kuishi Ndani Ya Kivuri Cha Bustani: Somo La Mwanzo 4:16

Mioyo Iliyojeruhiwa na Mabenchi Tupu Kanisani
Mwongozo wa Kibiblia kushughulikia Mpasuko Kanisani

Sio Kile Nilichotarajia
Wakati Maisha Yasipobadilika Kama Ulivyotarajia Mafunzo Kutoka Kitabu Cha Kutoka 16:3